Numbers 7:13

13 aSadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130,
Shekeli 130 za fedha ni sawa na kilo 1.5.
na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini,
Shekeli 70 za fedha ni sawa gramu 800.
vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Copyright information for SwhKC